Wapenzi wasomaji,
Msikfikiri ati mimi nimeshikwa na wazimu!
Kwa wale ambao mko "single" mtakubaliana na mimi kuwa siku hizi si rahisi kumpata mpenzi wa kweli yaani yule wa kufa na kuzikana.. Akina dada wanapata taabu kupata wakaka wa kuwapenda kwa moyo wa dhati. Khali kadhalika akina kaka!
Je nitafanyaje ili kupata mchumba wa kweli? Tafadhari kama unawazo au unajua m-dada mrembo na myenyekevu..nipashe ili niwasiliane naye. Mimi niko hapa USA, na ningependa huyo dada awe hapa. Napenda m-dada mcha mungu, umri 18-25, si razima awe msomi! Naamini wapo wadada wenye sifa hizo!
Kama utapenda kujua mengi kuhusu mimi, naomba unitumie barua pepe ikiwa imeambatana na picha yako kwa:
josh200444@yahoo.comAhsante!